HUDUMA

Graduation ya form VI UKWATA shule ya Bwiru Girls Schools
Wanafunzi wa kidato cha sita wakiwa waimba wimbo wakijiandaa kwaajili ya kusoma risala kwa mgeni rasmi ni vijana walio hitimu kwa ushujaa, tumuona Mungu akitembea kwaajili yao hakuwaacha. Mwenye bahasha ndo alikuwa mwenyekiti jina Ester Charles kulia kwake ni dada Glory Ituwe ambaye ni girls plan programme organizer of the ministryTWEKA HADI VILINDINI
Huduma ilifanyika katika kijiji cha kisesa mwanza  ilikuwa ni siku ya kuu ya Mikael na watoto siku ambayo inahazimishwa na watoto wa kanisa la lutherani ambayo inafanyika kwa mwaka mara moja.                
       Ni watoto wa Sunday School, sunday school ni ibadaya ya watoto inayofanyika kila jumapili.

The Savior Ministry Live Chat

© 2016 Savior Ministry.
Powered by Themes24x7 .
back to top